
Subscribe ndio neno gumu zaidi kwa wabongo kuliko kutafuna jiwe kama ilivyo kwa Waingereza kutamka Mwanjelwa..husema Monjela
Pamoja na vionjo hivyo..kwenye Simba Day ya mwaka huu ntakuja na style tofauti ya kutambulisha wachezaji...njoo ushuhudie mwenyew..usingoje kuhadithiwa ni Jtano hii pale dimba la Taifa... #SimbaDay #KibingwaZaidi 🇵🇪🇵🇪
Serikali yatoa tamko kuadimika mafuta ya kula nchini
Waziri Kigwangalla atetea ununuzi wa ndege
Zitto Kabwe amshauri Job Ndugai
Bunge lataka tende zifutwe kodi mfungo wa Ramadhani
Mo Dewji afunguka jinsi anavyopiga pesa kupitia kilimo
Msanii wa muziki Aslay anaye tamba na kibao cha ‘Angekuona’ azungumzia mafanikio aliyoyapata akiwa na Bendi ya Yamoto ikiwa chini ya mkubwa Fella amesema ni mengi ila haya ni machache na yenye kipaumbele katika mafanikio yake kimuziki
Kutembea Nchi mbalimbali
“Yamoto bandi tumeweza kutembea sehemu mbalimbali hapa duniani jambo ambalo ni neema kwa mwanamuziki kwakutengeneza Connection, tumezunguka marekani,Asia na Hata baadhi ya nchi za afrika kama vile Rwanda na kwingineko”
2.Kujengewa Nyumba
“Tumejengewa nyumba tukiwa yamoto bandi kila msanii anayumba yake ,hilo ni jambo kubwa sana kwani kuna baadhi ya watu wanafanyiwa management lakini hawapati nafasi hiyo binafsi namshukuru sana Mkubwa Fella kwa kutufanya tuwe na makazi ”
3.Kuwa mimi kama mimi na kujijenga zaidi
“Kwasasa ninamaisha yangu ambayo naweza kupata riziki za hapa napale na ninaweza kuendesha familia yangu vizuri pasipo na shida na nimefanikiwa kufungua biashara ndogo ndogo ambazo zinaniingizia kipato cha kila siku”
Post A Comment: