ads

Baada ya kimya kirefu , hatimaye Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amekutana na uso kwa uso na Mwenyekiti wa  Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba.


Wawili hao wamekutana leo, Alhamisi katika msiba wa aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Kitwana Kondo (92) nyumbani kwake Upanga wilayani Ilala.

Wa kwanza kuwasili alikuwa na Profesa Lipumba kisha Lowassa, ambaye alisalimiana na watu waliokuwa karibu yake.

Lakini baada ya swala ya mchana Profesa Lipumba alisalimiana na Lowassa.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: