WAGONJWA 289 wamepelekwa katika Hospitali
ya Taifa Muhimbili (MNH), Kitengo cha wagonjwa wa dharura na ajali, wakati wa Krismasi.
Idadi hiyo ni kwa siku tatu kuanzia siku
hiyo hadi juzi.
Akizungumza jana , Mkuu wa
kitengo cha Mawasiliano kwa Umma, Aminiel Aligaesha alisema wagonjwa hao walifikishwa
kitengo hicho kuanzia saa 12 asubuhi.
“Wagonjwa waliofikishwa hapa walitoka jijini
na mikoa jirani,” alisema Aligaesha.
Alisema kati ya wagonjwa hao, 70
walihusishwa na ajali za magari.
Zingine ni za pikipiki, kupigwa risasi,
ajali za moto, kuvamiwa na vibaka na wengine kuanguka.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI



Post A Comment: