Meya
wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob amesema
kuanzia mwezi ujao wataanza oparesheni ya kukusanya mapato
yatakayokwenda kwenye miradi ya maendeleo.
Jacob
alitoa kauli hiyo juzi baada ya kukakibidhi msaada wa Sikukuu ya
Krismasi zenye thamani ya Sh2 milioni kwa makundi mbalimbali wakiwamo
watu wasiojiweza.
Miongoni mwa zawadi hizo ni mbuzi tano, mchele kilo 200, juisi na guni la viazi.
Alisema
halmashauri hiyo ni mpya na bado hawajajua mapato yanayokusanywa kwa
mwezi ingawa lengo ni kufikia Sh36 bilioni kwa mwaka.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI



Post A Comment: