Bibi Emma Morano anayeaminika kuwa ndiye Binadamu mzee kuliko wote Duniania amesheherekea jana kutimiza miaka 117 nchini Italy.
Bibi huyo anatajwa kama ndiye Mwanamke wa mwisho kuzaliwa miaka ya 1800.
Siri yake kubwa ya kuishi muda mrefu imetajwa kuwa ni juhudi zake
katika ulaji wa viini vya mayai ambapo daktari wake amesema huwa anakula
viini 2 kila siku.
Mumewe alifariki kwenye vita ya kwanza ya Dunia, na alilazimishwa
kuolewa na Mwanaume asiyempenda ambaye waliachana mwaka 1968 akiwa na
miaka 26 na tangu hapo Emma amekuwa akiishi mwenyewe bila ya mahusiano.
DOWNLOAD
APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA
KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD
BONYEZA HAPA
ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
Post A Comment: