ads
 
Simba imeonyesha imenuia kujiimarisha na kuna taarifa imeanza mazungumzo na kipa Daniel Agyei.

Agyei ni kipa namba moja wa kikosi cha Medeama ya Ghana na Simba inataka aongeze nguvu katika kikosi chake.

"Ndiye anaonekana kuwa chaguo sahihi, kazi yake ilionekana akiwa kwenye Kombe la Shirikisho," kilieleza chanzo.

Kocha Joseph Omog alipendekeza kuongezwa kwa kipa mmoja ili ‘kumbusti’ Vicent Angban.
 
DOWNLOAD APP YETU YA SWAHIBA NEWS ILI UWEZE KUPATA HABARI ZOTE MOJA KWA MOJA KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI BILA KUINGIA KWENYE WEBSITE,KUDOWNLOAD BONYEZA HAPA  

ANDIKA MAONI YAKO HAPO CHINI
 
 
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: