ads
oINASEMEKANA kuwa winga wa manchester united ,Angel di maria 
ameiambia manchester united kuwa anavutika na mpango wa kukipiga PSG
ya ufaransa na timu hiyo ya ufarasa ipo tayari kutoa paundi  42 wiki ijayo . Di maria amejikuta katika wakati mgumu united tangu alipotua agosti mwaka jana akitokea Real Madrid
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: