Kha! huu sasa ni ushirikina mastraika wa barcelona messi suarez na neymar msimu uliopita walifunga mabao122 lakini unafahamu jambo hilo linawafanya watu watafute sababu? wakati barcelona ikimaliza msimu kwa kunyakua mataji matatu na kufurahia safu yao hatari ya ushambuliaji imewafanya wachambuzi wa mambo kufikia mbali zaidi wakitafuta sababu za wachezaji hao kutoka amerika ya kusini kwanini walitamba na kuwa tishio.
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Post A Comment: