ads
Ubalozi wa tanzania nchini uganda umeikarimu timu ya taifa ya tanzania (taifa stars) chakula cha jioni baada ya timu hiyo kutolewa kwenye shindano la  kugombania nafasi za kucheza fainali za CHAN  mwakani nchini Rwanda

katika mechi hiyo ya marudiano iliyochezwa katika uwanja wa nakivubo, timu hizo zilitokwa sare ya 1-1 na tanzania kuaga mashindano hayo baada ya kichapo cha mabao 3-0  iliyokipata kutoka kwa uganda wiki mbili zilizopita  mjini zanzibar. stars ilialikwa chakula cha jioni na ofisi ya ubalozi wa tanzania  iliyopo jijini kampala
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: