Timu ya simba imesema kiiza atakuwa chachu ya mafanikio kwa msimu ujao baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kiiza amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea simba ya Tanzania katika msimu ujao wa ligi kuu tanzania bara
kiiza aliichezea yanga ambao ni mahasimu wakubwa wa simba katika msimu uliopita na baadae klabu hiyo kuamua kuachana nae
kiiza aliichezea yanga ambao ni mahasimu wakubwa wa simba katika msimu uliopita na baadae klabu hiyo kuamua kuachana nae
Post A Comment: