ads
Mwanadada  rachel ambaye ametamba na nyimbo zake kadhaa kwenye tasnia ya muziki amekanusha taarifa za kuwa yeye anatumia dawa za kulevya kufuatia tuhuma zilizozagaa kuwa yeye anatumia dawa za kulevya

amesema katika maisha yake hajawahi kutumia madawa yeyote ya kulvya pia huwa anasikia vibaya sana anaposikia taarifa hizo na hajui hata ladha yake na kusema anadhani kuwa watu wanamfananisha na msanii mwenzake Rehema Chalamila "Ray C" ambaye alikuwa muathirika wa dawa za kulevya

aliongezea kuwa watu wengi humfananisha na msanii huyo huenda pia hata hilo wamemfananisha na kudai kuwa huwa hatumii kabisa dawa za kulevya
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: