ads
Jose chameleon yupo tayari kumsaidia wema sepetu katika harakati zake za kuwania ubunge wa nagasi ya viti maalum huko mkoani singida

petit ambaye ni mtu w karibu wa wema sepetu amepost shotsreen kwenye instagram ya mazungumzo ya chameleon na wema kwenye whatsapp

ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: