mwanamuziki Tiwa Savage wa nigeria amelalamika kwamba ujauzito umemuaribu shepu yake hasa kutokana ma tumbo kutokaza mbele zaidi
mrembo huyo anayetegemea kumzalia mtoto mumewe tunji
amesema kwenye akaunti yake ya instagram japo anafurahia hali hiyo ila ujauzito unachangamoto zake.
unatamani uzae haraka umuone pia unafurahia anapojitingisha na unapojua kuwa amelala
nisafari ya furaha kuanzia mwanzo wa ujauzito hadi mwisho wake. aliandika Tiwa
Post A Comment: