muigizaji mkongwe husna poshi maarufu kama dotnata ameingilia kati ugomvi wa mastaa wawili wa bongo muvi wema sepetu na kajala masanja amewataka waachane na bifu hilo kwani halina faida kwao wala kwa jamii
akizungumza na tanuri la filamu hapo jana dotnata amesema kwa akili za binadamu bifu lao aliwezi kuisha maana kila mmoja anamuona mwenzie ndio mbaya
Post A Comment: