Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yatangaza ongezeko la mapato kwa asilimia 7.67 kutoka Sh. trilion 13. 3 mwaka wa fedha 2015/16 hadi trilion 14.4 mwaka wa fedha 2016/17.
Miezi ambayo imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa zaidi ni Septemba 2016 ambapo zilikusanywa sh. trilion 1. 378, Machi 2017 zilipokusanywa sh trilion 1.345 na Julai 2017 zilipokusanywa sh trilioni 1. 396.




Post A Comment: