Huenda umekuwa ukisumbuliwa na tatizo la ukosefu wa upungufu wa nguvu za kiume na umeshindwa kujua nini ufanye ili kutatua tatizo hilo.


Yafuatayo ni mambo ambayo ukizingatia wewe mwanaume mwenye tatizo hilo unaweza kupata ahueni:-

Epuka matumizi ya pombe.

Matumizi ya pombe huweza kukushawishi kufanya tendo la ndoa lakini pia pombe hiyo hiyo huweza kumnyima mhusika uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Hivyo kama unapenda kuepuka tatizo hilo jitahidi kuepukana na matumizi ya pombe.

Jitahidi kushiriki kufanya mazoezi

Watu wengi hujikuta wakisongwa na magonjwa mbalimbali kutokana na kutofanya mazoezi, lakini pia ni vyema ikafahamika kuwa mazoezi husaidia hata kufanya mzunguko wa damu kuwa mzuri ndani ya mwili jambo ambalo pia husaidia kwenye masuala ya tendo ya ndoa.

Jitahidi kupata muda wa kutosha wa kulala, punguza mawazo (stress) kula vizuri na upate muda wa kufurahi na marafiki na ndugu
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: