ads

Wataalam wa afya wamekuwa wakieleza kuwa kulala ni moja ya mambo muhimu kwa afya ya binadam.


Licha wengi kutozingatia umuhimu wa  kulala hasa yale masaa 8 ambayo hupendekezwa na wataalam kutokana na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kazi za kila siku.

Sasa leo naomba msomaji wangu nikueleze mambo kadhaa ambayo unaambiwa si mazuri kufanyika wakati unapokuwa kitandani tayari kwa kulala.

1. Hutakiwi kuangalia Tv wakati unapokuwa kitandani tayari kwa ajili ya kulala.

2. Kuchezea simu au kuchat kwenye mitandao mbalimbali wakati unapokuwa kitandani kwa ajili ya kulala.

3. Kula au kunywa wakati upo tayari kitandani nayo si tabia nzuri vinginevyo labda iwe unaumwa na hauna jinsi.

4. Kufanya mazungumzo hasa yale ya hasira wakati unapokuwa kitandani pia si vizuri
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: