ads

Katibu wa Bunge, Thomas Kashililah, amesema uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki(Eala) utafanyika Mei 10 mwaka huu.


Kashilila ameliambia bunge leo kuwa uteuzi wa majina ya watakaogombea uchaguzi huo utafanywa na vyama Mei 3 na uchaguzi ni Mei 10.

Chadema ilishindwa kupata wawakilishi wa wabunge wa Eala baada ya majina waliyoyapeleka, kupigiwa kura ya hapana.

 Chadema kiliwateua Lawrence Masha  na Ezekia Wenje kuwania ujumbe wa bunge hilo la Eala.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: