Yamekuwa hayo tena! Staa wa muziki Bongo, Rehema Chalamila `Ray C’ yupo
kwenye hofu nzito ya kutaka kuuawa kwa kile alichodai ni chuki za
binadamu wasiomtakia mema.
Wikiendi iliyopita Ray C alitupia ujumbe mzito mtandaoni uliosomeka: “Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee! Sitakufa bali nitaishi! Nashukuru kuwa ninajua haki yangu!

Post A Comment: