ads
Mama mzazi wa muimbaji wa yamoto band Aslay Isihak Dogo Aslay Moza Mohamedi amefariki dunia alfajiri ya leo katika hospital ya temeke jijini dar  es salaam alipokuwa amelazwa

Akiongea na mkali wetu meneja wa yamoto band saidi fella amethibitisha kutokea kwa msiba huo na inatarajiwa kuzikwa kesho

ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: