muimbaji huyo alisema kuwa wimbo huo haukupata promotion kubwa sababu ulivuja
kiukweli wimbo haujafika mbali kwa kuwa hata sikuutoa rasmi, kwa hiyo siwezi zungumzia zaidi, lakini sasa hivi nimeufanyia video ndio nitautoa rasmi baada ya ramadhaan
Kuhusu filamu hiyo ya siku 5 amesema ameshirikiana na kala jelemiah kuandika mkasa wake
kwenye filamu nimejipanga na filamu ya siku 5 pia nimeshirikiana na kala jelemiah hiyo filamu ipo tofauti kabisa pia mnaweza kumuona na kala jelemiah pia ipo filamu nyingine inaitwa kiboko yao zote ni kazi ambazo zinakuja hivi karibuni
Post A Comment: