muimbaji wa bongo fleva pipi amedai kutumia simu moja yeye na mume wake
pipi akiongea na kipindi cha leo tena cha clouds fm
unajua mtu kama sio mwaminifu katika ndoa ndio inakuwa tabu
na mtu akiamua kucheat anaweza hata bila simu japo kuwa wengi wanaona ni wivu lakini hiyo ni misingi tuliowekeana tangu tulivyozoeana alisema
mimi na mume wangu tuna miaka kumi tangu hatujafunga ndoa ni miaka kumi imefika. mimi na mume wangu tunamisingi mizuri ya uaminifu
na wala hatuna mambo mengi hivyo hatuna sababu ya kufichana ,kwangu mimi naona ni kawaida hata yeye. aliongezea
Post A Comment: