Rapper bora wa kike (nick minaj) mshindi wa tuzo za BET amesema hajachumbiwa wala hana mimba kama watu wanavyodhania
uvumi huu umeenea baada ya nick minaj kuonekana na pete ambayo inasemekana ni ya almasi kwenye kidole chake, akiongea katika backstage ya usiku wa tuzo za BET 2015 Nick Minaj alisema sijachumbiwa na pete ilikuwa ni zawadi tu
Post A Comment: