ads
Staa mrembo wolper anayefanya vizuri katika bongo muvi amefunguka kuhusu unanachama wake wa freemason
amesema haoni sababu za kuukana uanachama wa freemason kwani ni dini/taasisi kama zilivyo nyingine na katiba umesema kuwa kila mtu anauhuru wa kuabudu kutokana na
imani yake
akiongea na MKALI BLOG alisema yeye ni mwanachama na anashangaa sana watu kustaajabu kwa yeye kujiunga na freemason kwani walioanzisha taasisi hiyo ni watu kama wengine
freemasoni si ni taasisi kama zingine? kuna ajabu gani mimi kuwa mwanachama? tena nataka niku hakikishie nimekuwa mwanachama wa freemason kwa muda mrefu sana "Alisema wolper.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: