ads

mtayarishaji wa muziki na muimbaji bob junior ametoa dongo kwa watayarishaji wasiojua kuimba aliwachana live bila kuzunguusha maneno kuwa watayarishaji wasiojua kuimba ni bure kwani hawazijui ala za muziki

ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: