Mkuu wa gereza la ukonga Kamishna Msaidizi Steven Mwaisabila, amesema maisha ya mwanamuziki Nguza Vicking na mwanae, Papii Kocha gerezani hayakuwa na vikwazo katika utendaji wa jeshi hilo.


Amesema mwanamuziki huyo maarufu kama Babu Seya alikuwa mtu wa watu na wakati fulani alishirikiana na wenzake kutoa burudani ya muziki akishirikiana na wenzake.

Nguza alikuwa mnyapara mkuu wa Bush na mwanae alikuwa kiongozi wa mpira wa miguu gereza na hawakuwa na tatizo gerezani ndiyo maana waonekane na wenyewe wanaweza kuachiliwa huru wakaungana na wenzao na kuwa raia wema.
ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: