LICHA ya kutua Ndanda FC, kiungo mshambuliaji Mrisho Ngassa amepanga kurejea kwenye timu yake ya zamani ya Mbeya City kwa ajili ya kuda...
Read more »KIUNGO na aliyewahi kuwa nahodha wa Simba, Jonas Mkude amewataka wachezaji wenzake kutambua thamani ya kuvaa jezi ya Simba kwa kuhakiki...
Read more »MZUKA umepanda Msimbazi, baada ya Simba kukamilisha usajili wa dirisha dogo kwa kuwanasa nyota wawili wa kigeni akiwamo straika Dayo ...
Read more »KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina amefurahishwa na ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupawa dhidi ya timu ya Shelisheli. ...
Read more »Simba imefanya usajili wa kishindo katika dakika za mwisho kwa kuwasajili wachezaji wawili wa kimataifa Asante Kwasi na Domingos Anthon...
Read more »SIMBA na Yanga zimeanza kupiga hesabu juu ya ushiriki wao wa michuano ya kimataifa, lakini Wekundu wa Msimbazi wametabiriwa kufika mbal...
Read more »MABOSI wa Yanga wameanza mchakato wa muundo mpya wa uendeshaji wa klabu yao katika kuleta mabadiliko.
Read more »Huondo wa Ligi Kuu Bara utarejea Desemba 29 baada ya kusimama kwa wiki mbili kupisha mashindano yaKombe la Chalenji yanayoendelea nchin...
Read more »TUNASEMA ni mechi ya historia na kisasi, hayo ni maneno ya Kocha Mkuu wa timu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), Hemed Suleiman "Moroc...
Read more »KAMA ulikuwa unaichukulia poa Yanga pole yako, ni kwa sababu pale Jangwani kwa sasa kumenoga kinoma.
Read more »WINGA wa Simba, Shiza Kichuya, kumbe mjanja bwana, kwani licha ya kupambana na mabeki uwanjani ili kuibeba timu yake, lakini nje ya hap...
Read more »Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika imetoka na Simba imepata bahati yah kupangwa na timu laini au kibonde kutoka Djibouti.
Read more »Uongozi wa Simba umeongozwa na Mkurugenzi wake wa Mawasiliano, Haji Manara kufika nyumbani kwa kiungo wake, Mohamed Ibrahim ambaye alif...
Read more »MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania aliyesajiliwa na klabu ya Polokwane City inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Afrika Kusini, Elias Mag...
Read more »MATAJIRI wa Yanga waliopo katika Kamati ya Usajili na ile ya Utendaji, wanatarajia kukutana na benchi la ufundi la timu hiyo kujadili n...
Read more »HAPA Mwanza kuna kijiwe kimoja cha mashabiki wa kulialia wa Simba na Yanga kinaitwa bendera tatu, sasa bwana baada ya Bilionea Mohamed ...
Read more »MISIMU michache iliyopita, Simba ilikuwa ikiburuzwa kwa kila hali na watani zao Yanga iliyokuwa chini ya bilionea, Yusuf Manji huku Aza...
Read more »Uongozi wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa unakumbana na changamoto nyingi katika kuendeleza ukarabati wa uwanja wake wa Kaunda kutokana...
Read more »Simba imemtangaza kipa wake Aishi Manula kuwa mchezaji bora wa Novemba wa kikosi hicho.
Read more »BOSI wa Klabu ya AFC Eskelistuna ameshindwa kuwasili nchini wiki hii kumalizana na Simba kuhusu usajili wa timu hiyo, Said Ndemla baada...
Read more »