MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group amefunguka na kuwapa si...
Read more »Wakati zikiwa zimebaki siku 25 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika Jimbo la Singida Kaskazini, kivuli cha aliyekuwa mbunge wa...
Read more »Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. John Magufuli amemshukuru Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa kutoangalia rushwa wala urafiki pindi alipomcha...
Read more »WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema jumla ya kampuni 25 zimeonesha nia ya kujenga viwanda vya uchenjuaji makinikia nchini.
Read more »BARAZA Kuu la Waislamu nchini (Bakwata) Mkoa wa Dar es Salaam limesema kuwa watu wote waliosambaza taarifa za uongo na uchochezi kuhusu...
Read more »HATIMAYE wateule wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) wanaowakilisha nchi zao ndani ya Jumuiya hiyo, wanatarajia kuapishwa na pia kuchag...
Read more »Gerald Deus (30), mkazi wa Ushirombo wilayani Bukombe mkoani Geita aliyetoka jela kwa msamaha wa Rais, amehukumiwa tena kifungo cha mia...
Read more »Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amefunguka na kumjibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kuhusu kauli yake ya kusema kuwa ut...
Read more »MKE wa Dk. William Morris, Dk. Philis Nyimbi, anayedaiwa kuzaa na Nabii Josephat Mwingira, amekana mahakamani kwamba haujui mwili wa na...
Read more »Mbunge wa zamani wa Muhambwe (NCCR-Mageuzi), Felix Mkosamali amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa amejivua ...
Read more »Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe amesema wanachama wa Chama hicho waliohamia Chama cha Mapindu...
Read more »Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu amesimamishwa kazi.
Read more »MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amesema majeraha yaliyotokana na risasi zilizoingia mwilini mwake yamepona, isipokuwa viungo....
Read more »PEKOS Mtalikidonga (55) mfungwa aliyekuwa na umri mdogo kuhukumiwa kunyongwa akiwa na wenzake wanne akiwemo kaka yake, na baadaye kusam...
Read more »SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema Bunge halijamtelekeza Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) aliyelazwa nchini Kenya.
Read more »Nauli za mabasi yaendayo mikoani katika stendi kuu ya Ubungo zimebainika kupandishwa kinyemela tofauti na bei elekezi iliyotolewa na Ma...
Read more »KESI inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) ya madai uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli, imezidi kupigwa kal...
Read more »UPANDE wa Jamhuri umepokea jalada kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya kesi ya utakatishaji wa Dola za Marekani 300,000 ina...
Read more »HATIMAYE Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewafikisha mahakamani watuhumiwa wanawake wawili wanaotuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jin...
Read more »HAIDER Gulamali, mwanaCCM aliyekuwa akiwania kumrithi aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, alifikishwa kortini jana ...
Read more »