Kiungo Philippe Coutinho ameomba kuondoka Liverpool" ili kutimiza ndoto yake ya kuhamia Barcelona kwa mujibu wa taarifa.
Read more »KAMA mbwaimbwai, unaambiwa. David Luiz ameamua kumaliza utata baada ya kumfuata kocha wake huko Chelsea, Antonio Conte kumaliza bifu na...
Read more »BEKI wa zamani wa Arsenal, Martin Keown amesema anaamini sasa siku za Arsene Wenger zimeanza kuhesabika.
Read more »Real Madrid imeitungua mabao 2-1 klabu ya Al Jazira na bao la Greth Bale lilitosha kuipeleka timu yake kwenye nusu fainali ya Kombe la ...
Read more »Klabu ya Borussia Dortmund , imeushangaza ulimwengu wa soka baada ya kutangaza kumfukuza kazi kocha wake, Peter Bosz na kumuajili Peter...
Read more »UNAWEZA kusema vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba wamemalizana na straika mpya matata, Jonas Sakuwaha, aliyewahi kukipiga katika k...
Read more »Michezo nane ya kwanza ya hatua ya mwisho ya makundi ya klabu bingwa barani ulaya imechezwa usiku huu na jumla ya timu kumi na mbili ta...
Read more »HUKU mashabiki wa soka, hasa wa Liverpool wakijiuliza ni mchezaji gani hatari zaidi kati ya Luis Suarez aliyeondoka na Mohamed Salah, k...
Read more »Barcelona imemgeukia kwa mara nyingine kiungo mshambuliaji wa Liverpool, Philippe Coutinho, safari ikimtengea Pauni 130 milioni na msha...
Read more »England imepangwa pamoja na Ubelgiji na Tunisia na Panama huku Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wakipewa timu ngumu.
Read more »Mshambuliaji mwenye hasira, Sadio Mane amembwatukia kocha wake, Jurgen Klopp baada ya kumwingiza dakika ya 89, wakati Liverpool ikichez...
Read more »Taarifa ni kwamba nyota wa Arsenal Mesut Ozil raia wa Ujerumani anadalili kubwa za kutua Barcelona, Januari mwakani na tayari ada yake...
Read more ».MCHAKAMCHAKA wa Ligi ya Mabingwa Ulaya unaendelea wiki huu ambapo vigogo Real Madrid, Barcelona na Manchester United watahakikisha wan...
Read more »RAIS wa Shirikisho la soka la Italia, Carlo Tavecchio amethibitisha kwamba kocha wa Chelsea, Antonio Conte ana nafasi kubwa ya kuwa koc...
Read more »Hispania.Barcelona imefikia makubaliano ya awali ya kutaka kumsaini mshambuliaji Antoine Griezmann, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ufarans...
Read more »Kiungo Eden Hazard amekiri kuwa kucheza chini ya kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane ndiyo lengo lake katika siku za usoni.
Read more »Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) limeutangaza mpira mpya wa Adidas Telstar 18, ndiyo utakaotumika katika Kombe la Dunia 2018 Russia.
Read more »Dirisha dogo la usajili linafunguliwa wiki ijayo, huku viongozi wa timu wakianza kuwindana ili kudaka wachezaji nyota kwa ajili ya kuon...
Read more »Kocha Antonio Conte ameingia matatani kwa mara nyingine, baada ya kuibua mzozo na beki kisiki David Luiz.
Read more »Kwa mara ya kwanza Real Madrid itacheza na Barcelona Jumamosi mchana Desemba 23 kwa mujibu wa ratiba ya LaLiga iliyotolewa kwa mechi ...
Read more »