ads
baada ya kuonyesha kitendo kilichokuwa kinyume na maadili ya kitanzania, basata ilichukua hatua ya kumfungia shilole kuto jishughulisha na sanaa ya muziki  kwa muda wa mwaka mmoja, watu wengi wametoa maoni miongoni mwao ni Dj Fetty


haya ndio maneno ya fetty aliyoyaandika kwenye ukurasa wake wa fesibuku

zilitoka mixtape za ant virus vol.1 na 2, Basata alikaa kimya na alitoa kibali cha uzinduzi wa anti virus vol. 2 , viwanja vya posta licha ya kuwepo kwa malalamiko, SWALI ni kifungu kilichotumika kumuhukumu ni UCHI au UVUNJAJI wa MAADILI???

Una maoni kuhusu hukumu aliyopewa shilole na maoni ya fetty tuandikie hapo chini

ads
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya SWAHILI NEWS kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Share To:

SWAHIBA MEDIA STAFF

Habari , karibu katika mtandao wetu ili kuhabarika na stori zote za siku katika lugha yetu adhwim ya kiswahili, habarika wakati wote weka dunia kiganjani mwako na swahili news

Post A Comment: