
Staa wa mrembo wa Bongo Movie, Batuli ameonyesha kuchukizwa kwake kwa
kitendo cha staa mwenzake, Kitale kuvujisha picha hizi akiwa faragha
na mwigizaji chipukizi, Stanbakora ikiwa ni kati ya moja ya kipande cha
kazi yao mpya, kwa madai kuwa anaipa ‘promo’.
Kupitia ukurasa wake mtandao Batuli ameeleza kuwa Kitale alimpa picha
hizo Mateja ambaye ndiye aliezisambaza kwenye mtandao wa Instagram.
“Kwanza mniwie radhi Watanzania mnachokiona na
kinachoelezewa ni vitu viwili tofauti mwenye akili timamu anapata jibu
kamili. @mkudesimbaoriginal nikuulize hivi wakati unampa @matejamusa picha ulimwambia ni za nini!? hivi naweza kuwa faragha mbele ya camera!?
Post A Comment: