
Ali kiba Na Diamond wote tuliwatafuta na kuwauliza juu ya Beef yao inayoendelea lakini wote wamekanisha na kudai kwamba hakuna beef yeyote inayoendela kati yao
wasanii mbalimbali hasa watanzania wameonyesha sapoti kwa kupost picha za diamond na kuwahimiza watu watu kumpigia kura kwenye tuzo za MTV , Lakini hii ni tofauti kidogo kwa msanii Ali kiba ambaye hajamuonyesha kumsapoti diamond, Ali Kiba ametoa sababu za kutomsapoti Diamond na kusema kuwa diamond hakumtumia Picha ya kupost laiti kama angemtumia angeweza kumsapoti kwani hata nilipokuwa nataka kutoa nyimbo yangu ya cheketua niliwatumia picha wasanii wenzangu nao walinisapoti.
Post A Comment: